MAOMBI YA KUTENGUA MAUZO (FOMU MADAI 19)
Mahakama
Taarifa za Mwombaji
Maombi ya Kutengua Mauzo
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 19
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya

Kituo cha Mkoa

Shauri la Madai/Ndoa Na /20

Jina la Mwombaji Jinsia

Makazi Umri

Anuani ya Makazi Kazi

Simu Barua Pepe

Dhidi ya

MAOMBI YA KUTENGUA MAUZO
(Kanuni ya 85(1) ya Kanuni za Utaratibu wa Mashauri ya madai Mahakama za Mwanzo)

Mimi naomba kutengua mauzo yaliyofanyika tarehe mwezi mwaka kwa sababu zifuatazo:-

Nathibitisha kwamba yote niliyoleza hapo juu ni kweli kwa kadri nijuvyo.

Tarehe Mwezi Mwaka

Sahihi ya mwombaji

Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka

....................................................
Sahihi ya Karani wa Mahakama