AMRI YA KUUZA MALI KUTIMIZA HUKUMU (FOMU MADAI 17)
Mahakama
Wahusika
Maelezo ya Amri
Sahihi ya Hakimu
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 17
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya

Kituo cha Mkoa

Shauri la Madai/Ndoa Na /20

Jina la mdai

Jina la Mdaiwa

AMRI YA KUUZA MALI KUTIMIZA
HUKUMU
(Kanuni ya 72, 73 & 78 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)

Kwa

K.K. Kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi

Mahakama ya Wilaya

Kwa hati hii nakuamuru kuuza katika Mnada wa Hadhara baada ya kutangaza kwa muda wa siku kwa kubandika katika mbao za matangazo na nyumba ya mdeni Mhukumiwa kieleza wakati na mahala patakapofanywa mnada huu na mali iliyouzwa, na baada ya kutangazwa mali ambayo ni iliyokamatwa kwa hati ya kukamata mali iliyotolewa na Mahakama hii tarehe Mwezi Mwaka kwa kutimiza hukumu ya madai yaliyotajwa hapo juu, au mali itakayokamilisha kiasi cha Shilingi Unaamriwa tena kurudisha hati hii kabla ya tarehe Mwezi Mwaka ikiwa na maandishi yako ya kuthibitisha namna amri ilivyotekelezwa au kwa nini haikutekelezwa.

Endapo mdeni mhukumiwa atalipa na kuthibitisha kiasi kinachodaiwa na gharama zote za mnada kabla ya tarehe ya mnada, mnada wa mauzo utasitishwa.

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.)
ORODHA YA MALI INAYOTAKIWA KUUZWA

Hati hii imetolewa kwa Amri na Muhuri wa Mahakama leo tarehe Mwezi Mwaka

HAKIMU