PINGAMIZI LA KUKAMATA MALI KWA ASIYE MDAAWA (FOMU MADAI 15)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la mdai
Jina la Mdaiwa
PINGAMIZI LA KUKAMATA MALI KWA ASIYE MDAAWA
(Kanuni ya 70 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)Taja mali na sababu za pingamizi :-
Hivyo, naleta pingamizi katika Mahakama hii kwamba, amri ya kukamata mali tajwa hapo juu isitishwe ili kubaini uhalali wa ukamataji wa mali hiyo/hizo.
MUOMBAJI
Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka
Sahihi ya Karani wa Mahakama