PINGAMIZI LA KUKAMATA MALI KUTOKA KWA MDENI MHUKUMIWA (FOMU MADAI 14)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la mdai
Jina la Mdaiwa
PINGAMIZI LA KUKAMATA MALI KUTOKA KWA MDENI MHUKUMIWA
(Kanuni ya 69 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)Taja mali zilizokamatwa na sababu za pingamizi
Hivyo, naleta pingamizi katika Mahakama hii kwamba, amri ya kukamata mali tajwa hapo juu isitishwe ili kubaini uhalali wa ukamataji wa mali hiyo/hizo.
Maombi haya yameandaliwa leo Tarehe Mwezi Mwaka
MUOMBAJI
Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka
Sahihi ya Karani wa Mahakama