KUITWA SHAURINI KWA MDENI MHUKUMIWA (FOMU MADAI 12)
MAELEZO YA MAHAKAMA
TAARIFA ZA MDAI
TAARIFA ZA MDAIWA
MAELEZO YA WITO
TAARIFA ZA UPOKEAJI NA UWASILISHAJI
SAHIHI YA HAKIMU
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 12
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya

Kituo cha Mkoa

Shauri la Madai/Ndoa Na /20

Jina la Mdai

Jina la Mdaiwa

KUITWA SHAURINI KWA MDENI MHUKUMIWA
(Kanuni ya 62 ya Kanuni za Uendeshaji Mashauri Mahakama za Mwanzo)

KWA

KWAMBA Mdai ameleta maombi mbele ya Mahakama hii kwa ajili ya utekelezaji wa hukumu ya shauri tajwa hapo juu. Unatakiwa kufika mbele ya Mahakama hii tarehe mwezi mwaka kueleza kwanini hukumu isitekelezwe dhidi yako.

Hati hii imetolewa kwa amri na muhuri wa Mahakama leo tarehe

HAKIMU

Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka

.................................................................
(Mdeni Mhukumiwa)

Nimewasilisha Wito wa kuitwa shaurini kwa Mdeni Mhukumiwa leo tarehe Mwezi Mwaka

.................................................................
(Sahihi ya Mwasilisha Wito wa Kuitwa Shaurini)
Data imehifadhiwa