Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………
Kituo cha ……………………………… Mkoa wa ………………………………
KUITWA SHAURINI SHAHIDI KATIKA SHAURI LA JINAI
(Aya ya 10 Nyongeza ya III ya Sheria ya Mahakama za Mahakimu)
KWA ………………………………
ANUANI ………………………………
SIMU ………………………………
UNAAMRIWA uhudhurie mbele ya Mahakama hii tarehe …… mwezi …… mwaka …… saa …… ……………………………… asubuhi/mchana ukiwa ni shahidi katika shauri lililotajwa hapo juu bila kukosa.
Endapo hutohudhuria katika siku iliyopangwa, hati ya kulkukamata itatolewa.
Hati hii imetolewa kwa Amri na Muhuri wa Mahakama leo tarehe …… mwezi …… mwaka ……
HAKIMU
Imetolewa leo tarehe …… mwezi …… mwaka ……
(Sahibi ya shahidi)