Blog news

understanding matrimonial law and its interpretation

· Aug 05, 2026 · 3 min read

understanding matrimonial law and its interpretation

spousal maintenance

Nijukumu la mwanaume kumtunza mke na familia yake kiujumla, ila pale ambapo Mke akiondoka kwenye nyumba wanayokaa na mumewe kwa hiyari yake mwenyewe hataweza kupata matunzo tena kutoka kwa huyo mume, ambapo hapo awali alikuwa anapewa kila kitu, pasipo kuwa na uthibitisho zaidi.

A wife who voluntarily separates from the matrimonial home is not entitled to maintenance during that period where the husband offers accommodation and provisions.

maneno haya yametajwa na kuelezewa katika shauri la Nsile James Mboneke vs Erick Kamoga Mugurusi (Consolidated Civil Appeal No. 309 & 312 of 2024) [2026] TZCA 861 ambapo maamuzi haya yalitoliewa 4 August 2026.

Related Articles