Blog faq

effect of not fording parties right to be heard

· Jul 27, 2026 · 3 min read

effect of not fording parties right to be heard

for anything, parties has to be offered right to be heard apart for it; there is serious negative impact on it as as the decision to be overturned in appellant stage

kwa kawaida, mtu yeyote (mshtaki na mshtakiwa) wanapokwenda mahakamani wanaenda kwa lengo moja tu la kusikilizwa hoja zao/ malalamiko yao. nikujumu la mahakama kutenga muda wake wa kutosha kusikiliza watu na kama upande wowote ule haujasikilizwa kwa chochote kile mpka kutolewa maamuzi, upande huo unaweza kwenda katika mahakama ya juu yake yake na kupinga maamuzi hayo kwani maamuzi hayo yametolewa pasipo yeye kusikilizwa.,

na pia kama mahakama imeibua hoja yoyote ile (suo moto) ina wajibu wa kuwaalika wadaawa kutoa hoja zao juu ya hoja iliyoibuliwa na mahakama, kisha mahakama kutoa uamuzi.

hivyo kama mahakama imefanyi hivyo na haija toa nafasi ya wadaawa kutoa hoja zao, pande yoyote ile katika shauri hilo anaweza kukata rufaa na kupinga maamuzi hayo., kama ilivyofanyika katika kesi ya Rashid Ahmed Kilindo vs Eva Ndewalia Joseph Angela & Another (Civil Appeal No. 942 of 2025) [2026] TZCA 809, ambapo mahakama kuu kabisa imesema kuwa hataka kama mahakama imeibua hoja yake pekee, inatakiwa kuwaalia wadaawa na kutoa uamizi baada ya kuwasikiliza wadaawa hao na hoja zao.

Related Articles